BODI YA MIKOPO KUFUNGUA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO KUANZIA JUN 27- 31 Julai | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, June 24, 2016

BODI YA MIKOPO KUFUNGUA DIRISHA LA MAOMBI YA MIKOPO KUANZIA JUN 27- 31 Julai

MAELEZO JUU YA KUOMBA MKOPO.

Bodi ya mikopo tayari imetangaza kufungua dirisha la maombi Kwa waombaji wote wa mikopo, kuanzia tar 27/juni 2016 hadi tar 31 julai 2016.

Maombi ya mkopo yanafanywa na mwanafunzi ambaye hadhaminiwi na anufaiki na mkopo huo kutoka bodi wala shirika lolote.

Mwanafunzi huyo awe amemaliza kidato cha Sita Kati ya mwaka 2014 na 2016. na asiwe ameajiriwa.

Pia mwanafunzi huyo anapaswa awe mtanzania,kama sheria no. 9 ya 2004. ya bodi.

Lazima mwanafunzi aombe ONLINE, kupitia OLAS yaani (online loan application system). Baada ya kuwa umenunua vocha ya shilingi 30000/=.M-PESA unaingiza namba zile za vocha. ulizonunua M-PESA.

Unaanza jaza details kadhaa online, kama matokeo, mahali unapoishi, kazi ya baba, mama, Jina la mdhamini, anapoishi, n.k

Ukimaliza una print fomu zile,  unaziambatanisha na na nakala zifuatazo.

*nakala ya cheti cha kuzaliwa
* nakala ya cheti cha kidato cha nne.
*nakala cheti cha kifo kama mzazi /wazaz wamekufa.
*nakala ya barua ya daktari kama mzazi ni mgonjwa au mlemavu.
*>nakala ya barua ya kustaafishwa kama mzazi, mlezi, Hana kazi au amestaafu
>nakala ya kitambulisho cha mdhamini. Hasa cha uraia au cha mpiga kura.
>passport size yako na ya mdhamini wako.

Baada ya hapo unapeleka Kwa mwanasheria anayetambulika, aidha wakili au hakim. Kuna sehemu yake ya kujaza pia kupiga mhuri na saini yake katika kila nakala ulioiambatanisha ili kuthibitisha.

Baada ya hapo nenda Posta katume Kwa njia ya EMS.

MAELEZO YA ZIADA.

Mkopo unaotolewa unajumuisha yafuatayo.
>meals and accommodation
>tuition fees
>books and stationary
>special faculty
>field and training
>research expenses

Kwa CONTINUOUS STUDENTS, yeyote anaye nufaika na malipo yeyote hapo,hata kama ni 0% huyo hapaswi kuomba Tena mkopo.

Bali mtu wa namna hiyo anapaswa asubiri akate rufaa Kwa kuomba aongezewe kiasi cha fedha, anaweza akawa analipiwa meals and accommodation tuu, anapaswa aombe aandike sababu Za msingi, na Za mashiko wakati wa kukata rufaa (appeal).

Hivyo yeyote ambaye anadhaminiwa na bodi hata kama ni kidogo, asifanyi maombi asubiri Muda wa kukata rufaa. Ambapo tutafahamishana pia.

Shukrani saana, ninawaomba wote ambao hamjawahi fanya maombi au mlifanya mkakosa, msikati tamaa.

Kwa muongozo zaidi tembelea :
www.heslb.go.tz