WORLD BLOOD DONORS DAY ''SOTE TUNAUGANISHWA NA DAMU' | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, June 12, 2016

WORLD BLOOD DONORS DAY ''SOTE TUNAUGANISHWA NA DAMU'

 Mpango wa Taifa wa Damu Salama umejiwekea lengo la kukusanya chupa 300, 000 za damu kwa mwaka 2016/2017. Kwa siku ya Jumanne (June 14 ) pekee, wanatarajia kila Mkoa ukusanye angalau chupa 100.  

June 14 ni Siku ya Wachangia Damu Duniani. Kitaifa siku hiyo itaadhimishwa Dodoma ikiwa na kauli mbiu ‪  #‎SoteTunaunganishwaNaDamu‬.
Uchangiaji wa Damu utafanyika kupitia vituo vya Damu Salama vilivyopo kila Mkoa.

Mimi Anthony Damas Mwanafunzi wa wa Maendeleo ya Jamii katika  chuo kikuu Iringa pia mwandishi wa blog ya http://apostledarmacy.blogspot.com/

natoa wito kwa watu wote  kujitokeza kwa wingi ili kuchangia Damu. ‪#‎SoteTunaunganishwaNaDamu‬ @changiadamutz

Mhe,Paul Makonda mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam amesema ''Sisi Dar es salaam ndio sura ya Tanzania; tuna uwezo wa kuvuka matarajio ya ukusanyaji wa Damu salama kwa siku moja tu. Mimi na wewe tuchukue uamuzi wa kwenda kuchangia Damu katika vituo tajwa ili tuokoe maisha ya Watanzania wenzetu. ''
‪#‎SoteTunaunganishwaNaDamu‬ @changiadamutz

Samweli Sasali  anasema ''vuta picha ndugu yako wa Damu anayeugua anaweza kupoteta uhai dakika yeyote , Kinacho itajika kuokoa maisha yake ni kwenda kuchangia Damu, Fahamu kwamba chupa moja ya damu utakayo changia inaweza kuokoa maisha ya mtu zaidi ya mmoja''

Mchangiaji mmoja wa Damu anaweza okoa maisha ya mpaka watu watatu. Mahitaji makubwa ya damu yapo kwa Watoto ambao ni 50%, Kina mama wajawazito na matatizo mengine 30%, wanaofanyiwa upasuaji 15% na wengine kama wanaotakana na ajali pamoja na cancer ni 5%.

Changia Damu Sasa na Si Baadae.

ChangiaDamu‬ 

 SoteTunaunganishwaNaDamu

When you give money,

you give food...

But when you give blood,

you give life

Overview

The theme of the 2016 World Blood Donor Day, 14 June, campaign is "Blood connects us all". The objectives are to thank blood donors for their life-saving gift of blood and highlight the theme of blood connecting us all; to create wider public awareness of the need for regular blood donation, and inspire those who have not yet donated blood to start donating; to persuade countries to show appreciation to regular, voluntary, unpaid donors and commit to self-sufficiency in blood supply.

Related links

http://apostledarmacy.blogspot.com/2016/01/changia-damu-sasa-na-si-baadae.html 