Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
KATIKA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUUMKOA WA IRINGA MIRADI YAMAENDELEO YENYE THAMANI YASHILINGI BILIONI 7,139 993 299ITAPITIWA NA MBIO ZA MWENGE
Tarehe 22/6/2016 siku ya Jumatanomwenge wa uhuru utakimbizwa katikaManispaa ya Iringa na kupitia, kuwekajiwe la msingi, kukagua na kufunguajumla ya Miradi saba ya Maendeleo.
Miradi itakayopitiwa ni Ujenzi wa darajala Tagamenda uliyopo Kata ya Ruahawenye thamani ya shilingi5,343,133,556.30/-. Pia ujenzi wa mferejiwa kilimo cha umwagiliaji katika Kata yaIsakalilo ambapo mradi huu utawekwajiwe la Msingi.
Mradi mwingine ni gari la kubebeawagonjwa (Ambulance) katika Hospitaliya Frelimo katika Kata ya Mwangata.Aidha mwenge wa uhuru utakagua mradiwa Elimu kwa njia ya Teknolojia yaMawasiliano(TEHAMA) wenye thamaniya shilingi 512,604,200/- Mradi upokatika Kata ya Gangilonga.
Pia mradi wa barabara ya lamiMwang'ingo Mkimbizi hadi Bwawanikatika kata ya Mkimbizi ambapo mradiumekamilika na utakaguliwa. Mradi huuumegharimu jumla ya shilingi822,403,900.75/-. Mradi mwingineutakaofunguliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru ni Mradi wa uhifadhi mazingira naufugaji Nyuki katika Msitu wa Igelekekatika Kata ya Mkimbizi, ambapo mradiumegharimu jumla ya shilingi28,938,000/-.
Mradi wa mwisho utakao pitiwa na Mbioza Mwenge ni kutoa Hundi ya shilingi20,000,000/- kwaajili ya vikundi vyawanawake na vijana.
Aidha, Mkesha wa mwenge utakuwakatika viwanja vya Mwembetogwavilivyopo katika Manispaa ya Iringa.
uzinduzi wa miradi ya maji chini ya ufadhiri wa UNICEFMkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela akikimbiza Mwenge na wakimbiza Mwenge kitaifa tayari kuupeleka Kilolo
HABARI IMELETWA KWENU NA
SIMA BINGILEKI Iringa Manispaa
CREDIT TO DAMAS