MWENGE MKOA WA IRINGA KUZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILLIONI 7,139,993,229 | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Tuesday, June 21, 2016

MWENGE MKOA WA IRINGA KUZINDUA MIRADI YA SHILINGI BILLIONI 7,139,993,229

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela akikimbiza Mwenge na wakimbiza Mwenge kitaifa  tayari kuupeleka Kilolo tarehe 21/06/2016

KATIKA MBIO ZA MWENGE MWAKA HUUMKOA WA IRINGA MIRADI YAMAENDELEO YENYE THAMANI YASHILINGI BILIONI 7,139 993 299ITAPITIWA NA MBIO ZA MWENGE 

Tarehe 22/6/2016 siku ya Jumatanomwenge wa uhuru utakimbizwa katikaManispaa ya Iringa na kupitiakuwekajiwe la msingikukagua na kufunguajumla ya Miradi saba ya Maendeleo.
Miradi itakayopitiwa ni Ujenzi wa darajala Tagamenda uliyopo Kata ya Ruahawenye thamani ya shilingi5,343,133,556.30/-. Pia ujenzi wa mferejiwa kilimo cha umwagiliaji katika Kata yaIsakalilo ambapo mradi huu utawekwajiwe la Msingi.
Mradi mwingine ni gari la kubebeawagonjwa (Ambulance) katika Hospitaliya Frelimo katika Kata ya Mwangata.Aidha mwenge wa uhuru utakagua mradiwa Elimu kwa njia ya Teknolojia yaMawasiliano(TEHAMAwenye thamaniya shilingi 512,604,200/- Mradi upokatika Kata ya Gangilonga.
Pia mradi wa barabara ya lamiMwang'ingo Mkimbizi hadi Bwawanikatika kata ya Mkimbizi ambapo mradiumekamilika na utakaguliwaMradi huuumegharimu jumla ya shilingi822,403,900.75/-. Mradi mwingineutakaofunguliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru ni Mradi wa uhifadhi mazingira naufugaji Nyuki katika Msitu wa Igelekekatika Kata ya Mkimbiziambapo mradiumegharimu jumla ya shilingi28,938,000/-.
Mradi wa mwisho utakao pitiwa na Mbioza Mwenge ni kutoa Hundi ya shilingi20,000,000/- kwaajili ya vikundi vyawanawake na vijana.
AidhaMkesha wa mwenge utakuwakatika viwanja vya Mwembetogwavilivyopo katika Manispaa ya Iringa. 
HABARI IMELETWA KWENU NA 
SIMA BINGILEKI Iringa Manispaa
CREDIT TO DAMAS 