MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KATIKA KITUO CHA YATIMA KILICHO UNGUA MOTO IRINGA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, July 10, 2016

MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KATIKA KITUO CHA YATIMA KILICHO UNGUA MOTO IRINGA

Ndugu zangu Wa iringa mjini  Jana Halmashauri ya manispaa iringa imeeongozana na mweshimiwa mbunge Msigwa kwenye kituo cha yatima faraja mgongo kutoa misaada ya vitu mbalimbali baada ya kituo hicho kuteketea Kwa moto
Pamoja na misaada hiyo  bado kituo hicho kinahitaji misaada sana, mfano wale watoto walisalimika na moto lakini nguo walizozivaa Ndo hizo wanazo hadi Leo
Hawana mablanketi,vikombe vya chai, nguo za kuvaa, na chochote kile ambacho mwanadamu anahitaji
Kituo cha faraja mgongo kinategemea wafadhili Wa ndani kipo chini ya kanisa  katoliki na hivyo sisi wananchi Wa Iringa ndo Wa kwaza kukisaidia na kuwasaidia watoto wote  mana pia wana haki ya kuishi kama watot wezao
Ofisi ya manispaa kitengo cha ustawi Wa jamii pamoja na kitengo cha maafa bado kinapokea misaada mbalimbali kama vile nguo , sabuni Vinahitajika sana.
 Ulichonacho tunakihitaji kuwanusulu hawa yatima
IMETOLEWA NA OFISI YA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA IRINGA NDUGU
  ALEX KIMBE
Damas Anthony 
Afisa Maendeleo ya Jamii  