TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, July 9, 2016

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU LILILO ANDALIWA NA KAMATI YA KKKT CHUO KIKUU IRINGA

SOMO; FAIDA ZA KUMSIFU MUNGU NA KUMUABUDU MUNGU

MWALIMU; JOEL MBILINYI

Mwalimu Joseph Mbilinyi amefundisha kuhusu ASILI YA NGUVU YETU KATIKA KUMSIFU NA KUABUDU

Mr. Joel alianza kwa kufundisha kwa kuanza kwa kusema 
*Kujua Mungu wa Kweli yaani kujua ukamilifu wake. Pia kwa kadili ya Imani yako ndio una pokea .pia amehubiri kwa kusema jina Lina beba maana ya kitu
Kitabu cha KUTOKA 3:14

*Kwa kadili ya Imani yako pokea. 

*ROHO WA MUNGU AKUFUNDISHE JINSI YA KUTOA SADAKA KWA KUJUA MAMBO YA ROHONI NA UKIELEWA MAZINGIRA YA KUSIFU NA KUABUDU.
PIA ALIFUNDISHA KWA KUSEMA UKIAJILIWA NA MWANADAMU ATAKULIPA KWA KIWANGO ANACHO WEZA LAKINI UKIAJILIWA NA MUNGU MUNGU ANAKULIPA ZAIDI
KUNA package Ya Mwanadamu na package ya Mungu
Na mshahara wa Mungu ni sawa sawa na haja ya moyo wako.
Pia alifundisha majina ya MUNGU

JEHOVA SHALOM
"Mungu wa Amani"
Mfano Paul na Silla Gerezani w alikuwa na Amani ya Moyo na walikuwa wana mtazama MUNGU kwa Kuomba na KUSIFU Mungu alikutana nao huko huko gerezani 

JEHOVA ELOHIMU
"MUNGU BABA"
MUNGU ROHO
MJNGU ROHO MTAKATIFU

JEHOVA JIRE
Katika mlima Wa Bwana Mungu ndiye Mtoaji

Pia Somo lingine na
Mwalimu SAMWELI MKUMBO
NAFASI YA MTOAJI NA MPOKEAJI WA MATOLEO KATIKA KUYAKUBALI NA KUYAPOKEA MATOKEO YA MATOLEO

Yote haya yamefanyika 

TAREHE; 9 /07/2016

UWANJA WA CHUO KIKUU IRINGA ''BLOQIST''

MGENI RASMI ; Mhe. RITTA KABATI