UZINDUZI WA KANISA LA EFATHA IRINGA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, July 31, 2016

UZINDUZI WA KANISA LA EFATHA IRINGA

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela leo ameshiriki uzinduzi wa Kanisa la Efatha Mlima wa Sayuni katika mtaa wa Lugalo B Wilolesi Iringa. Akitoa salamu za serikali alisema maarifa huyapati kwa kuomba tu bali ni ile hali yako ya uelewa na ukafanya unavyo elewa huku ukimtegemea Mungu. akaendelea " tunapokataa  kukaa na Mungu Mungu naye hutuacha nasi tutaendelea kutumia akili zetu, akili zetu bila Mungu ni kazi bure" Mh Kasesela alimuomba Mtumishi wa Mungu Josephat Mwingira kuuombea mkoa wa Iringa uondokane na dhambi zinazotutenganisha na Mungu ikiwemo ubakaji, ushirikina na kutenda haki kwa kila mtu.

Naye Nabii Mwingira akifungua ibada alisema sasa Tanzania ipo katika mabadiliko y majira ya Mungu, elimu iliyopo itabadilika iendane na mfumo wa Mungu, ni lazima Taifa liondokane na elimu ya kitumwa ambapo kila amalizae shule anatafuta kuomba kazi ili awe mtumwa wa mwingine, aliendelea " Ukimuona mtu amemaliza shule anahangaika mitaaani na barua za kuomba kazi ujue huyo hajaelimika bali kaenda shule"

Nabii Mwingira anaendelea na maombi na mahubiri kesho katika milima ya Sayuni pale wilolesi kuaanzia saa 3 asubuhi Kabla ya kuelekea Mbeya jumapili.