Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe Hamad Yusuf Masauni, ametoa pongezi kwa MABALOZI WA USALAMA BARABARANI NA Nukuu
"Mabalozi wenzangu wa Usalama Barabarani wanastahili pongezi kwa kushirikiana vizuri na Jeshi la Polisi pamoja Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika kusaidia kupunguza ajali za barabarani na kuokoa maisha ya watu waliopata ajali. TAREHE 30/07/16 nimebahatika kupata mwaliko wa kushiriki mafunzo ya uokoaji yalitolewa na Zimamoto kwa mabalozi ambapo nilitumua fursa hiyo kuwapa changamoto mabalozi hao kuhakikisha wanahamasisha wananchi wengi zaidi kujiunga nao ili waweze kusaidia na kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Mkakati wa Kupunguza Ajali Barabarani tunaotarajia kuuzindua hivi karibuni kwa tarifa kwa haraka zaitakazosaidia kuwabaini watu watakaondelea kukiuka sheria za barabarani ili waweze kuchukuliwa hatua kali za kisheria."
Mwisho wa Ku nukuu
By RSA UOI
Damas Anthony