Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
Ebrania 11:8-10 8Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende kwenye nchi ambayo Mungu angempa kama urithi. Naye aliondoka akaenda ingawa hakujua aendako. 9Kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi ya ahadi. Aliishi katika nchi ya ugenini katika mahema pamoja na Isaki na Yakobo ambao pia walikuwa warithi pamoja naye wa ahadi ile ile. 10Maana alikuwa akitazamia mji wenye misingi ya kudumu ambao umebuniwa na kujengwa na Mungu mwenyeweMafanikio yanapatikana katika kujitoa miili na nafsi zetu kwa Mungu, pale tunapotambua kuwa tunaishi kwa ajili yake na yatupasa kwanza kuyafuata mapenzi ya Mungu katika kila sehemu ya maisha yetu.
Warumi 6:13 13Msikubali kutoa sehemu yoyote ya miili yenu itumike kama vyombo vya uovu kutenda dhambi. Bali jitoeni kwa Mungu kama watu waliotolewa kutoka katika kifo wakaingizwa uzimani. Pia toeni sehemu zote za miili yenu zitumike kama vyombo vya haki.2. Kabili majukumu yako na wajibu wako
1Kor 10:31-32 31Basi, lolote mfanyalo, kama ni kula au ni kunywa, fanyeni mambo yote kwa ajili ya utukufu wa Mungu. 32Msiwe ki wazo kwa Wayahudi au kwa Wagiriki, au kwa kanisa la MunguVile vile lazima uwe makini katika matumizi yako ya fedha. Huwezi kufanikiwa kama kile kidogo ulichionacho hukitumii kwa busara na kwa kuwajibika..
1 Tim 6:10 10Maana kupenda fedha ni chanzo cha uovu wote. Tamaa ya fedha imewafanya wengine watangetange mbali na imani na kuteseka kwa huzuni nyingiYatukasa kuwa mkweli na nafsi yako, kubali hali yako na tafuta njia halali za kujikwamua na sio kujidanganya na kujikweza. Tambua uwezo wako na avikwazo vyako kiuchumi na kasha tafuta njia ya kujikwamua na sio kutafuta kujilinganisha na wengine na kujidai huoni vikwazo vyako.