MAANA YA MANENO KATIKA BIBLIA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, October 9, 2016

MAANA YA MANENO KATIKA BIBLIA

DUA- Linatokana na neno la Kiyunani “deesis” maana yake kuomba kwa bidii na kwa nguvu zote mpaka majibu yanapokuwa yamepatikana. Maana ya dua ni kuwakilisha hoja nzito mbele za Mungu na kuendelea kuhojiana na Mungu mpaka upate majibu yako. Tunaweza kuona katika maandiko jinsi Yesu Kristo anatufundisha kuomba kwa bidii bila kukata tamaa na kupewa haki upesi. Neno kupewa haki upesi linamaanisha  kupewa upesi ulicho kiomba au uliyo yaomba. Maandiko yanayohusiana na dua unaweza kuyasoma katika, Luka 11:5-10;  18:1-8; Yakobo 5:17-18; Wakolosai 1:9.

Yeye mwenyewe Bwana wetu Yesu Kristo wakati anakaribia mauti yake alifanya maombi na dua pamoja na kulia sana kwa machozi akasikilizwa  kwa kuwa alikuwa mcha Mungu na alijifunza kutii.   Mara Malaika akamtia nguvu, Waebrania 5:7-8; Luka 22:39-44. Sisi vile vile inatupasa kumcha Mungu yaani kumhofu na kujifunza neno lake na kutii  kwa kufanya linavyosema ndipo tukiomba atusikia na kutupa haja zetu,1Yohana 3:22; Yohana 9:31; Mithali 15:29. 
 
 SALA - Maana yake ni kuwakilisha mahitaji yako binafsi mbele za Mungu. Mahitaji ya lazima ni pamoja na mambo ya lazima kama vile chakula, mavazi, malazi na mengine yanayofanana na hayo, ndio maana Yesu anatoa mfano ulio hai anasema sisi tunawapa Watoto wetu vipawa vyema, pia anauliza je si zaidi sana Baba yetu aliye Mbinguni atawapa mema wamwombao?.  Vipawa vyema au mema ni maneno yanamaanisha hitaji au mahitaji tunayo mwomba Mungu, Matayo 7:7-11. 

 MAOMBEZI - Ni kuwakilisha mahitaji ya wengine au kuombea wengine badala ya kujiombea binafsi, 1Wathesalonike 1:2; 2; 11-12  na Wakolosai 1:9.

 SHUKRANI - Ni neno la Kiebrania “Yadah” maana yake kutoa maneno ya shukrani, Zaburi 107:21-22; na Waebrania 13:15. Kushukuru ni jambo la muhimu sana mbele za Mungu inatupasa kushukuru kwa kila jambo jema. Wale wakoma kumi waliotakaswa na Yesu kati yao alirudi  kushukuru ni mmoja tu wale tisa hawakuwa na moyo wa shukrani,  1Wathesalonike 5:18; Luka 17:17-19.

 KUABUDU - Linatokana na neon la Kiebrania “Shachah’’, neno hili lina maana kuinama, kusujudia, au  kwa kulala kifudifudi mbele za Mungu au chini ya miguu ya Mfalme. Luka 4:8; 2Samweli 24:20.

 UPAKO - Ni kutiwa mafuta, kumiminiwa mafuta, kutengwa au kuwekwa wakfu kwa ajili ya kazi maalum ya Mungu, kama ya ukuhani,ufalme na nabii  Luka 4:18; 1Samweli 10:1; 16:13; Kutoka 30:30; 1Wafalme 19:15-16