DAY 6: SEMINA YA NENO LA MUNGU DODOMA- MWL. MWAKASEGE | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, April 9, 2017

DAY 6: SEMINA YA NENO LA MUNGU DODOMA- MWL. MWAKASEGE

SEMINA YA NENO LA MUNGU DODOMA UWANJA WA BARAFU NA MWL MWAKASEGE*
SOMO: *FAHAMU YAFUATAYO KUHUSU NDOTO UNAZOOTA ILI UFANIKIWE KIMAISHA*
*APRIL 7, 2017*
*SIKU YA 6*
Kama hukuwepo hakikisha unapata kanda na tumekwenda hatua kwa hatua. Sikiliza na sikiliza itakusaidia sana..
tembelea www.mwakasege.org kupata malelezo namna ya kupata kanda.
Jambo la 6⃣
*YAJUE MAENEO MUHIMU YATAKAYO KUSAIDIA KATIKA KUFASILI NDOTO.*
💫LENGO LA SOMO: Kuimarisha uhusiano wako na Mungu katika Kristo Yesu. Na usiishie kujua tu mambo ya ndoto bali uhusiano wako na Mungu uimarike.
👉Katika biblia unaona Yusufu na Daniel wakifasili ndoto. Sasa sio mara zote utakutana na Yusufu au Daniel lakini ndoto utaendelea kuota hiyo. Kwa hiyo fahamu wewe mwenyewe kwa kuomba Mungu na akupe ufahamu wa kufasili ndoto na kumjua Mungu katika Kristo Yesu.
👉 Maeneo haya yanafanya kazi pamoja.
ENEO LA 1⃣: *UWE NA KIU YA KUTAKA MUNGU AKUSAIDIE KUJUA TAFSIRI YA NDOTO HIYO.*
_Wakamwambia, Tumeota ndoto wala hapana awezaye kuifasiri. Yusufu akawaambia, *Kufasiri si kazi ya Mungu? Tafadhalini mniambie*_.
MWANZO. 40:8
👉kufasili ndoto ni kazi ya Mungu. Kwa hiyo na wewe jua kufasiri ndoto ni jukumu la Mungu na wewe weka Imani yako kwa Mungu ili afasiri ndoto yako
_Hata siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, *Yesu akasimama, akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.* Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake. Na neno hilo alilisema katika habari ya Roho, ambaye wale wamwaminio watampokea baadaye; kwa maana Roho alikuwa hajaja, kwa sababu Yesu alikuwa hajatukuzwa._
YOHANA. 7:37‭-‬39
Kila aliye na kiu aende kwa Yesu na sio kwa mtumishi. Japo Mungu anaweza kukufungulia mlango wa kwenda kwa mtumishi hakikisha unamtukuza Mungu. Na hakikisha imani yako hakikisha imani yako inaenda kwa Mungu.
Pia kuwa Mwangalifu na watumishi *Kumbu kumbu 13:1-4* inasema kuna watumishi wanamtumikia *mungu* lakini sio *Mungu* wa Kwako yaani katika Kristo Yesu.
_Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni._
1 WAKORINTHO. 2:10‭, ‬13
👉Ndoto inakupa picha ya vitu vulivyoko Katika ulimwengu wa Roho mwenyeji wetu ni Roho Mtakatifu.
👉Hakikisha unakuwa na *kiu ya kutosha*
Hapa nakufundisha namna ya kuonesha kiu kwa Mungu.
_Basi Danieli akaingia, akamwomba mfalme ampe muda, kisha yeye atamwonyesha mfalme tafsiri ile. Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari kina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake; ili waombe rehema kwa Mungu wa mbinguni kwa habari ya siri hiyo, ili kwamba Danieli na wenzake wasiangamizwe pamoja na wenye hekima wa Babeli. *Ndipo Danieli alipofunuliwa siri hiyo katika njozi ya usiku. Basi Danieli akamhimidi Mungu wa mbinguni*._
DANIEL. 2:16‭-‬19
👉Nabukedreza aliota ndoto na alisahau na aliita watu wote wakaldayo na wachawi na wenye hekima.
👉Na waliposhindwa kumkumbusha ndoto yake alitangaza kuwaua wote. Na taarifa alipelekewa Daniel. Na Daneil aliomba Kwa Mungu na akampa ile ndoto na tafsiri yake.
*Namna ya kuwa na Kiu*
*1. Tenga muda wa kuombea hiyo ndoto kwa msukumo*
Maana ilikuwa ni ngumu kwao wasingeshughulikia ile ndoto ya mfalme kwa maana Mungu wao asingejibu maombi yao wangeuawa.
👉Weka msukumo ndani yako wa kutaka kuombea na weka msisitizo ndani yako ya kuomba na ndio maana *Yesu alisema kila aliye na kiu aje kwangu*. Na Roho Mtakatifu anajua siri za Mungu na atakupa kujua.
*Tenga muda wa kuombea ndoto*
👉Masomo kama haya yanakusaidia usipuuzie ndoto maana Farao alitaka kupuuzia ndio maana akisema kumbe ni *ndoto tu* alidharau na alitaka kuiacha.
Kile kiashiria kilimpa kumbana na alitafuta tafsiri. Kwa hiyo unapoota ndoto mahali pa kwanza ni *kwenda kwenye maombi*.
Ndoto ikikuondolea usingizi ombea muda huo huo. Mke wa Pilato alipewa muda mfupi na hakuomba kuhusu mateso ya Yesu na hakuomba _Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki; *kwa sababu nimeteswa mengi leo katika ndoto kwa ajili yake*._Mathayo 27:19
Ukiota ndoto na unaomba kwenye ndoto endelea kuomba na wewe kama umeshtuka kutoka usingizini hiyo ni ishara ya hiyo ndoti inahitaji kushughulikiwa saa hiyo.
ENEO LA 2⃣: *UWE NA NENO LA KUTOSHA LA BIBLIA MOYONI MWAKO ILI USIKIE MUNGU AKISEMA NA WEWE*
Kuna hekima ya Mungu, na mwanadamu na shetani. Maana yake kwa hekima yote *tumia neno la Mungu kwa hekima ya Mungu ili Mungu apate utukufu.*
Uwe na utaratibu wa kujijaza neno la Mungu la Kutosha moyoni mwako.
Kwa sababu Ayubu 33:14-15
_14 Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. 15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani;_
*Ayubu 33 :14-15*
Mungu anasema kwa ndoto kwa mambo mengi..
_*Warumi 10:17* Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa *neno la Kristo.*_
_Zaburi 103:20 20 Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, *mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake*_
👉Ndoto ni neno katika picha. Hii ni tafsiri nyingine.. maana ya kwanza nilikuambia kiwa ndoto ni picha ktk ulimwengu wa Roho.
Kwa hiyo kama huna neno la Mungu huwezi kuelewa na kusikia huja kwa neno la Kristo kwa hiyo ili upate ujumbe unahitaji neno.
Ndani yako kama una kiu lazima Mungu atasema na wewe na kukuhimiza ujaze neno lake.
Hivi umewahi jiuliza kwanini hujasoma biblia yote.Maana usisingizie muda kwa sababu uko mda mwingi online whatsap na kwenye mitandao na unasema huna muda. Kwani waatumishi wanajuaje kwa sababu wanasoma neno.
Weka utaratibu soma sura 3 agano la kale na 1 agano jipya kila siku utamaliza. Au nenda kwenye simu yako weka utaratibu wa kusoma biblia mara moja kwa mwaka.
👉 The One Year ® Bible
http://bible.com/r/y
👉Naona mtu anaota ndoto yuko chini ya mlima na unazungua huo mlima na hujajua maana yake.
Biblia inasemaje kuzunguka mlima huu umetosha.
_*Mlivyouzunguka mlima huu vyatosha; geukeni upande wa kaskazini.Kumbukumbu la Torati 2:3*_
Mungu anasema saa yako ya kutoka imefika lakini hujajua kwa sababu huna neno la kutosha.
Ndoto zingine zina ujumbe moja kwa moja
Nilipokuwa chuo SUA (wakati ule ilikuwa Faculty of Agriculture chini ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam) Morogoro nikaota ndoto niko ndani na ikaja karatasi nyeupe ikashushwa na kunyanyuliwa juu mara tatu. Na nilishindwa kusoma na ukaja ujumbe na sauti ikasema hiki ni kitabu cha Joshua .
Na kumbuka nilikuwa sijaokoka nikamwambia Marehemu baba yangu na alisema Mungu anakumbia somakitabu cha Joshua .
Baada ya mwaka kupitia nilipokuwa nakarabia kuokokaa na nikaona katika macho haya na nikaoneshwa kitabu cha Joshua tena
Na nikaonesha na historia na Mungu akisema nani atakaye pokea koleo ya Musa . Na nguvu za Mungu zilinishukia na nikawa nanena kwa lugha nikijua naumwa nimeanza kuchangangikiwa maana nilikuwa sijui kitu cha kunena kwa lugha.
Kwa hiyo nikafunga mdomo lakini huku ndani (moyoni) nasikia Bwana Yesu asifiwe.
Nilijua hapa nimechanganyikiwa.. marehemu mama alikuwa anawahi kuja kunitazama maana alijua saa yoyote nakufa kwa namna nilivyokuwa naumwa
Na baba yangu nilipomueleza alisema Mungu kasema na wewe mwaka jana kwenye kitabu cha Joshua soma na sasa anakuuita kuanza kazi.
_2 Musa mtumishi wangu amekufa; *haya basi, ondoka,* vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hata nchi niwapayo wana wa Israeli. Yoshua 1 :2_
Na baba yangu alisema rudi chumbani kwako kaongee na Mungu niliokoka mwenyewe kitandani kwangu na si kuongozwa na mtu na nilikuja hata sijui nini maana ya sala ya toba na Mungu alinisaidia na *nikaweka agano na Mungu kuwa sitaenda kuhubiri bila uwepo wake*.
Na baada ya hapo nikasoma tena kitabu cha Joshua na nikapata ujumbe na kitu cha kifanya.
Habari za Nebukadreza .. alitaka tafsiri na hakutafuta ujumbe. Usifanye kosa hilo la *kufurahia tafsiri ya ndoto na kuacha ujumbe*.. si siuala la kusoma neno tu bali hakikisha unapata unachotafuta.
Kama ni uponyaji utaona uponyaji.. nuru neno ni taa litakuongoza, hakikisha unapata kitu cha kukusaidia katika neno.
Nimeona watu wanatafsiriana ndoto na unaona hawako sahihi.. na nagundua kuwa hawana neno la kutosha.
ENEO LA 3⃣. *Omba Mungu akupe ufahamu wa kudumu juu ya ndoto*
_17 Basi, kwa habari za hao vijana wanne, Mungu aliwapa maarifa na ujuzi katika elimu na hekima; *Danielii naye alikuwa na ufahamu katika maono yote, na ndoto*. Danieli 1 :17_
Paulo aliwaombea waefeso ufahamu
_17 Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, *awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye;18 macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, mjue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu jinsi ulivyo;* Waefeso 1 :17- 18_
Na usiombe kujumla omba specific kuwa Mungu naomba uafahamu wa kufahamu ndoto.
Mungu anahamu ya wewe uwe na ufahamu maana yeye ndiye aliyetengeza hiyo njia ya kuwasiliana na wewe kwa ndoto
_6 Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao. Waebrania 11 :6_
_1 Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Waebrania 11 :1_
_17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo. Warumi 10 :17_
Mungu ni mzazi anataka aongee na wewe kwa lugha ya kawaida. Kama wewe hukai na watoto wako atajua sana ile lugha ya ya mlezi wake kama ni hause girl au house boy au bibi. Na ndio maana Mungu anataka kukupa njia ya kudumu ya kusema na wewe maana ni mzazi wako
Tokea Mungu ananifundisha jambo hili naona moja kwa moj ndoto nyingi sana.mimi naona urahisi kwa sababu niliamua kujifunza lugha ya Mungu ya ndoto.
Kama Mungu alisema na mimi kwaa njia ya ndoto na kama nilielewa basi ujue na wewe atakusaida.
ENEO LA 4⃣ *Kumbuka ulichokuwa unawaza au kukiombea kabla ya ndoto*
_20 aliotenda katika Kristo alipomfufua katika wafu, akamweka mkono wake wa kuume katika ulimwengu wa roho; Waefeso 1 :20_
👉Mungu anajibu ndoto na mawazo yako
_18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri. *20 Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu*.21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe; *Mathayo 1 :18-24*_
Ina maana alikuwa anawaza kumwacha Mariam na Mungu alijibu moja kwa moja na angalia _16 Ndipo huyafunua masikio ya watu, Na kuyatia muhuri mafundisho yao *17 Ili amwondoe mtu katika makusudio yake*, Na kumfichia mtu kiburi; 18 *Yeye huizuia nafsi yake isiende shimoni, Na uhai wake usiangamie kwa upanga. Ayubu 33 :18*_
👉Kagua ulikuwa unawaza nini na hiki ndicho unakipata kwenye Mathayo _Kisha Herode akawaita wale mamajusi faraghani, akapata kwao hakika ya muda tangu ilipoonekana ile nyota. Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkaulize sana mambo ya mtoto; na mkiisha kumwona, nileteeni habari, ili mimi nami niende nimsujudie. Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane. *Nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto wasimrudie Herode, wakaenda zao kwao kwa njia nyingine*_.
MATHAYO . 2:7‭-‬8‭, ‬11‭-‬12
Na Mungu aliwaonya walipotoka tu kwa Herode kwa njia ya ndoto na Mungu aliwakataza. Kitu cha muhimu kwenye ndoto ni ujumbe. Maana hatujaambiwa ndoto hapa ila ni *ujumbe ndio muhimu*.
Nebukadreza alipotukuka na alimsahau Mungu na aliota ndoto na akaona mti mkubwa.. na ndege wapo hapo na aliona mlinzi akija kuuagiza mti ukatwe na Daniel akaja kumfasiria na alifadhaika moyoni na yeye.
Na Daniel alimwambia
_Ndipo Danieli, aliyeitwa jina lake Belteshaza, akashangaa kwa muda, na fikira zake zikamfadhaisha. Mfalme akajibu akasema, Ee Belteshaza, ndoto ile isikufadhaishe wala tafsiri yake. Belteshaza akajibu, akasema, *Bwana wangu, ndoto hii iwapate wao wakuchukiao, na tafsiri yake iwapate adui zako*. ni wewe, Ee mfalme, uliyekua, na kupata nguvu; maana ukuu wako umekua na kufika mpaka mbinguni, na mamlaka yako yamefika mpaka mwisho wa dunia. ya kuwa utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa kondeni, nawe utalazimishwa kula majani kama ng’ombe, nawe utatiwa maji kwa umande wa mbinguni, na nyakati saba zitapita juu yako; hata utakapojua ya kuwa Aliye juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye, awaye yote. *Hayo yote yakampata mfalme Nebukadreza. Baada ya miezi kumi na miwili, alikuwa akitembea ndani ya jumba la kifalme katika Babeli. Hata neno lile lilipokuwa katika kinywa cha mfalme, sauti ilikuja kutoka mbinguni, ikisema, Ee mfalme Nebukadreza, maneno haya unaambiwa wewe;*Ufalme huu umeondoka kwako. Nawe utafukuzwa mbali na wanadamu, na makao yako yatakuwa pamoja na wanyama wa kondeni; utalishwa majani kama ng’ombe, na nyakati saba zitapita juu yako, hata utakapojua ya kuwa Aliye juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa amtakaye, awaye yote. *Saa iyo hiyo jambo hilo likatimizwa, likampata Nebukadreza; alifukuzwa mbali na wanadamu, akala majani kama ng’ombe, na mwili wake ulilowa maji kwa umande wa mbinguni, hata nywele zake zikakua, zikawa kama manyoya ya tai, na kucha zake kama kucha za ndege*_.
DANIEL. 4:19‭, ‬22‭-‬22‭, ‬25‭, ‬28‭-‬29‭, ‬31‭-‬33
Na amri ya walinzi ilikuja na kumundoa kwenye nafasi yake na alisema tengeza mambo yako na Mung *Kwa sababu hiyo, Ee mfalme, shauri langu lipate kibali kwako; ukaache dhambi zako kwa kutenda haki, ukaache maovu yako kwa kuwahurumia maskini; huenda ukapata kuzidishiwa siku zako za kukaa raha.DANIEL. 4:27*
👉Na yote yalitokea baada ya miezi 12. 👆 *Na hakujali na alipewe tafsiri na ujumbe*
ENEO LA 5⃣. *Ikiwa umeota ndoto na umesahau omba Mungu akukumbushe. Na akupe tafsiri yake na ujumbe.*
Daniel 2:1-29. Nabukadreza aliota ndoto na alisahau. Ndani yake alisahau kabisa. Wachawi nao walisahau. Akina Daniel waliomba kwa Mungu awakumbushe na walipewa na tafsiri yake na ndoto aliyoota.
Na nebukdreza hakubisha maana alikumbushwa yote.
👉Kuna miaka kadhaa mama yangu alikuwa anasumbuliwa jambo fulan na kitu kilichokuwa kina namsumbua nilishuhuduwiwa kuwa kuna ndoto aliota lakini nilipomuuliza alisahau. Na niliomba na Mungu alimkumbusha na nilijua namna ya kuombea.
Kama Mungu anaweza zuia usisahau mwombe Mungu usisahau kwa sababu ulisahau kuomba ili usisahau.
Omba Mungu akusaidie.. na ndio maana andika ndoto zako. Hakikisha unaandika ndoto andika wakati huo huo.
Na ukiota ndoto na ukawa unakumbuka kijumla itakupa shida kutafsri .. na wengine wameandika wamesoma shule uliyoota. Sio sawa uko chuo kikuu unaota uko primary au kindergarten.
Hakikisha cheki akina nani wanakuzunguka na ni nani na mtihani huo ni nini.. kesho tutapita..
Na kesho ntaanza kukufundisha namna ya kutumia vipengele fulani fulani.
🛐Maombi: Hakikisha unaokoka na Mungu anakuita uokoke msalaba ni kwa ajili yako na Roho Mtakatifu afungue mlango wa Kuokoka maana kuokoka sio dini mpya bali ni kuhamishwa kutoka ufalme wa giza kwenda ufalme wa mwana wa Pendo lake.
Mapepo yote achia watu hawa tunafuta laana zote za ukoo na kila kinachozuia usiokoke kwa damu ya Yesu Mungu wafungulie mlango kama Seth na muokoke . Na Mungu mpe neema ya wokovu mtu anayesoma somo hiki katika Kristo Yesu.
👉Nazungumza na wewe kama hujaokoka na unatamka huyu Yesu. *Au ulirudi nyuma njoo kwa Yesu na neema ipo rudi kwa Yesu*.
***********************?**************
Soma sala hii

🛐 *Sala ya Toba*
👉 Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona umuhimu wa kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.
Naamini Roho Mtakatifu ameweka fursa hii mikononi mwako kwa mpango maalum wa Mungu ili ufike mahali pa kutubu na kuokoka. Inawezekana kabisa, pia ya kuwa hujawahi kuambiwa juu ya umuhimu wa wewe kuokoka. Lakini napenda kukuambia ya kuwa ni mpango wa Mungu uokoke. Soma Wakolosai 1:13,14 na Yohana 1:12-14 na 1 Timotheo 2:3-6 na Warumi 1:16,17 na Yohana 3:7. Ni vigumu kuona baraka za Damu ya Yesu bila ya kuokoka.
Kwa hiyo kama unataka kuokoka - tafuta mahali palipo na utulivu, na usome kwa sauti sala ifuatayo: *(ukiweza unaweza kupiga magoti unapoomba sala hii)*
_*“Ee Mungu wangu ulie Mtakatifu. Ninakuja mbele zako. Mimi ni mwenye dhambi. Naomba unisamehe dhambi zangu zote nilizokukosea katika maisha yangu. Ninatubu kweli. Naomba damu ya Yesu Kristo iliyomwagika msalabani kwa ajili yangu initakase sasa katika roho yangu na nafsi yangu na mwili wangu. Nimefungua moyo wangu. Bwana Yesu Kristo nakukaribisha ndani yangu. Ingia kwa uwezo wa Roho wako – uwe Bwana na Mwokozi wangu kuanzia sasa na siku zote. Ahsante kwa kunisamehe na kwa kuniokoa. Nimejitoa kwako nikutumikie katika siku zote za maisha yangu. Shetani hana mamlaka tena juu yangu katika jina la Yesu Kristo. Amina.*
Ikiwa umesoma sala hii kwa kukusudia kabisa na kwa imani, basi wewe umeokoka na dhambi zako zimesamehewa na kusahauliwa na Mungu sawasawa na alivyoandika katika neno lake. Damu ya Yesu iko juu yako sasa.
🚶🚶‍♀ *Baada ya kuokoka*
Unapoanza maisha haya mapya katika Yesu Kristo nakushauri mambo yafuatayo:
1. Zungumza na Mungu kwa maombi kila siku (Yohana 15:7)
2. Soma Neno la Mungu (Biblia) kila siku (Matendo ya Mitume 17:11)
3. Mruhusu Roho Mtakatifu akutawale (Wagalatia 5:16-25; Warumi 8:14-17)
4. Umtumaini Mungu kwa kila jambo katika maisha yako (1Petro 5:7; Zekaria 4:6)
5. Usiache kukusanyika na kushirikiana na wengine waliompokea Yesu Kristo kuwa Mwokozi wao kama wewe ili uimarike zaidi (Waebrania 10:25)
6. Soma jarida la "Hongera kwa Kuokoka.👇👇
Ukipenda unaweza kuniandikia kwa anwani yangu http://www.mwakasege.org/mawasiliano.htm juu ya uamuzi uliofikia leo wa kuokoka, ili tumshukuru Mungu pamoja, na tuzidi kukuombea; na pia, tukutumie maandiko mengine ya kukusaidia:
*Soma kitabu cha Hongera kwa kuokoka katika maandishi haya*
http://www.mwakasege.org/mafundisho/hongera/utangulizi.htm
Au download hapa katika pdf katika link hii na unaweza print na ukawa unajisomea
https://drive.google.com/…/0BxdP6mgDJWByVERtampLTGZWR…/view…
Video ya semina ya leo
👇👇
https://youtu.be/wS2ZKZvFqLo
*SIFA NA UTUKUFU NI KWA YESU*
*Noted by.*
*felixmbwanji@gmail.com*
*Arusha, Tanzania*
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏6⃣ *SEMINA YA NENO LA MUNGU DODOMA UWANJA WA BARAFU NA MWL MWAKASEGE*