MKUTANO WA VIJANA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, October 2, 2013

MKUTANO WA VIJANA

Vijana nchini Afrika Kusini wakiadhimisha siku ya vijana duniani

Kile kinachosemekana kuwa mkutano mkubwa zaidi wa vijana unatarajiwa kuanza hivi punde mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

Vijana efu moja miatatu kutoka katika mataifa ya 93, watahudhuria kongamano hilo liitwalo, dunia ya vijana katika uwanja rasmi wa michezo mjini humo.

Watajadili maswala kama vile ajira kwa vijana, elimu na dhuluma za kingono.

Mkutano huu wa siku 4 utawajumuisha vijana 1300 chini ya umri wa miaka 30 kutokea mataifa 180 na mada kuu ni vijana kujifundisha utawala bora na kuwa viongozi wa kesho,ilimu ,haki za Binadamu, ukosefu wa ajira miongoni mwa mambo mangine mengi.

Wengi ya vijana wanaume kwa wanawake wanaotarajiwa kuhudhuria kongamano hili ni vijana wanaotokea katika mataifa yaliokumbwa na misukosuko ya kivita lakini vijana wa vyama tawala kutoka serekali za mataifa hayo 180 hawakualikwa ilivyokua kongamano hili sio kongamano la kiserikali.

Baadhi ya vijana wanaotarajiwa kushiriki kwenye mkutano huu wa mara ya nne wa One Young World ni Kevin Musila na Billow Hassan kutokea Kenya , Arinitwe Stephen kutokea Uganda na Ilwad Elman kutokea Somalia.

Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, msanii wa muziki wa Rock, Bob Geldoff na mshindi wa tuzo ya Nobel kutoka Bangladesh Mohammad Yunis, ni miongoni mwa watakaowahutubia vijana hao