Vurugu Mbeya | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, October 2, 2013

Vurugu Mbeya

Na Mwandishi wetu

HALI YA AMANI YAREJEA JIJINI M BEYA NI BAADA YA JESHI LA POLISI KUTULIZA FUJO ZA WAFANYA BIASHARA WANAO PINGA KUTUMIA MACHINE ZA TRA

Hali ya amani Imerejea jijini Mbeya muda huu baadya Jeshi la Polisi Kudhibiti Vurugu hizo ambazo wafanya Biashara waliandamana kupinga Bei za Mashine za TRA, Utulivu huo umetokea baada ya Jeshi la Polisi Kutangaza kuwa kila mtu arejee kwao na kuwasihi wananchi wasifanye tena fujo hizo.

 Magari ya Jeshi la Polisi yakiwa yanazunguka kila upande kuhakikisha kuna usalama wa kutosha 
 Sasa safari za Daladala Mwanjelwa zinaendelea kama kawaida 
 Ulinzi mkali umeimarishwa pembezoni mwa Maduka ili kuepusha uharibifu wa vibaka ambao wanaweza vamia maeneo hayo
Huu ni moja ya mitaa ambayo imechangamka sana kwa Mfikemo lakini leo hali imekuwa kimya hakuna hata sehemu moja iliyo wazi kote kumefungwa .
 Hii ni Mitaa Mbalimbali ya Mwanjelwa ambapo Maduka yote yamefungwa hakuna aliye fungua siku nzima ya leo .. 
Gari la kumwaga maji ya kuwasha kutoka Jeshi la Polisi Likiwa limesimama tayari kwa lolote ambalo litatokea muda huu na mpaka baadae...

Mpaka sasa hivi tunapo toa ripoti hizi za moja kwa moja kutoka Jijini Mbeya  kutokana na vurugu kubwa iliyozuka kwa wafanya biashara kugomea mashine za TRA, Sasa wafanya biashara hao wamerejea makwao ingawa kulikuwa na vugu vugu la Vijana vibaka kuleta vurugu lakini nao Jeshi la polisi limeweza kuwadhibiti wote na hali sasa imekuwa tulivu... Ingawa kulikuwa na Minong'ono kutoka kwa watu mbalimbali wakiomba hali hii kesho iwe shwari na kusiwe na vurugu tena...

APOSTLEDARMACY.BLOGSPOT COM NA Tone multimedia Live group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu ndio tulikuwa tunawaletea tukio zima kuanzia Mwanzo mpaka sasa tunaondoka eneo la tukio...
 
 Endelea kufuatilia  kwa habari zaidi
 
http://apostledarmacy.blogspot.com/