KONGAMAONO KUBWA LA SHILOH | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Wednesday, November 18, 2015

KONGAMAONO KUBWA LA SHILOH

KUTIKISA TANZANIA KUANZIA TAREHE 06.11.2015  13 DECMBER KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO ASSEMBLIES OF GOD MIKOCHENI "B" DAR ES SALAAM

Kwa watu waliohudhuria Shiloh mwaka jana ukiwaambia kuhusu Shiloh watakusimulia jinsi Mungu wetu anavyojitokeza kwa watu wake;
 Shiloh ni kongamano ambalo hufanyika kwa mwaka mara moja katika kanisa la Mlima wa Moto Assemblies of God Mikocheni "B'
kwa lengo la kuwakusanya watu kutoka dini tofauti na makabila tofauti  kukaa pamoja na kumtafakari huyu Mungu wetu, na pia huwa kunakuwa na mambo mengi sana yanayoendelea mahali hapo Katika Shiloh ya mwaka huu  kutakuwepo  na waimbaji mbalimbali na watumishi wa Mungu mbalimbali kama vile  Askofu Dastan Maboya na watumishi wengine wengi, pia kutakuwepo na waimbaji kama Goodluck, Bahati Bukuku, Furaha Isaya, Happy Choir, Joy Bringers, Mass Choir ya Mlima wa Moto, Gideon Mutalemwa na wengine wengi sana.
Unakaribisha sana ili uweze kupokea baraka za Mungu wetu kupitia Shiloh

DVD na AUDIO CD za Mahubiri ya Shilloh zitapatikana

RED CARPET ITAKUWEPO SIKU HIYO YA SHILOH

WAHUDUMU WATAVALIA BADGES ZAO

BANNER ZITATAPAKA KILA KONA YA JIJI

STICKER ZA KUPANDIKA KWENYE MAGARI ZINAPATIKANA SASA
 ZAWADI MBALIMBALI ZITAKUWEPO KWA KAMA UTAJIBU MASWALI VIZURI KUPITIA PRAISE POWER RADIO
WHEEL COVERS KWAAJILI YA KUTANGAZA SHILOH NA KAZI YA MUNGU

Add caption

Credit to;
RUMAFRICA CONTACTS