Thursday, February 23, 2017
MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017
- Next You are viewing Most Recent Post
- Previous Denice Simeo Youth Development Expert atoa ushauri kwa vijana wa chuo
google+
There is greatness inside of you
I believe that there is a seed of greatness in all human beings. Therefore the aim of my blog is to bring to my readers awareness of things that are happening around us. I will focus majorly on inspirational news that can motivate my readers to doing more with their lives too. If you are too busy to get acquainted with what is in the newspapers or you have read the papers but have not felt any inspiration or motivation, please log on this page and be inspired to walk in your purpose and dream.
SERIKALI MKOANI IRINGA YADHAMIRIA KUMALIZA KADHIA YA UPUNGUFU WA MADAWATI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza amewaomba wakazi wa Mkoa huo waishio Dar es salaam kujitokeza kwa wingi tarehe 4/05/2016 kuanzia saa 9:00 Alasiri kwenye Ukumbi wa External Jijini humo kwa muktadha wa kuchangia madawati.
Binafsi Naomba Iringa na Tanzania kwa ujumla kujitokeza na kumuunga mkono mkuu huyu wa Mkoa Mwenye dhamira ya dhati kabisa kumkomboa mwanafunzi wa Kitanzania anayeketi chini ilihali anayaandaa maarifa ya kulitumikia Taifa lake.
Wote tunafahamu kuwa mtoto ni mtu mzima anayekua na elimu ndio msingi wake mkuu wa uimara wa mafanikio kimtazamo na kiuchumi pia.
Kwanza nampongeza mkuu wa Mkoa kwa dhati kabisa kuamua uchangiaji huu ufanyike kwenye ukumbi wa kanisa la Maisha ya Ushindi kitendo cha kufanyia kanisani tu kinaleta baraka kwa kila atakayeshiriki jambo hili muhimu, serikali ya Iringa na Taifa vitamtambua kwa dhamira yake ya dhati zaidi sana Mungu wa mbinguni ataongeza maradufu kile ulichokitoa.
Kujitokeza kwako na kuchangia ni kukubali kuifanya Iringa kuwa ya Mfano lakini kumfanya mtoto kuamini kama wazazi na walezi wa kitanzania ni tunu kwa Taifa hivyo naye ana deni kubwa la kulitumikia Taifa na vizazi vijavyo hapo baadae.
HONGERA SANA MAMA MASENZA
HONGERA PIA KWA Iringa DC Mr Kasesela Naamini mnashirikiana vyema na wakazi wa Iringa kuitambulisha Iringa.
Changia Madawati, Okoa Iringa na kizazi cha Baadae
Credit to
Canal Mathias