Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, August 14, 2016

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana

Sauti Sol is a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a capella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves
From left to right:
Willis Chimano, Savara Mudigi, Bien-Aimé Baraza and Polycarp Otieno

Bwana ni mwokozi wangu,

Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

 Baraka zake hazikwishi,

si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana Kuliko

Jana Kuliko Jana

Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko Jana

 Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana

 Nakuomba Mungu awasamehe

 Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema

Na maadui wangu nawaombe maisha marefu,

wazidi kuona ukinibariki

Ujue binadamu ni waajabu sana Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika

Ujue binadamu ni waajabu sana Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

 Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki

 Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana

 Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana

 Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea

(oooh oooh yeah)

Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea) Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)

 Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea

(Eh, maisha yangu yote) Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote),

kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)

Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)

 Bwana ni mwokozi wangu,

Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana Baraka zake hazikwishi,

si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Yesu nipende leo kuliko jana

 Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)

 Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea

Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)

Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea

Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki Ananipenda leo kuliko jana Kuliko Jana Kuliko Jana Nipende leo Kuliko Jana