MKUU WA WILAYA YA IRINGA AMEANDAA MAFUNZO YA UJASILIAMALI YENYE KAULI MBIU ISEMAYO "IBUA UJASILIAMALI IRINGA" | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, August 15, 2016

MKUU WA WILAYA YA IRINGA AMEANDAA MAFUNZO YA UJASILIAMALI YENYE KAULI MBIU ISEMAYO "IBUA UJASILIAMALI IRINGA"

*IBUA UJASIRIAMALI IRINGA*

TAREHE- 18-20/08/2016

MAHALI: Ukumbi wa Welfare ( Kitanzini karibu na ofisi ya Mtendaji wa kijiji wa Kitanzini)

MUDA: 2 Asubuhi- 9 Mchana

Katika kupambana na  umasikini *Mh Mkuu wa wilaya ya IRINGA Mh. Richard Kasesela ameandaa mafunzo ya ujasiriamali kwa wakazi wa Iringa, 

mafunzo yatakayo tolewa ni pamoja na mafunzo ya utengenezaji batiki, vikoi, sabuni za maji, dawa za usafi wa choo, vyakula vya mifugo, kilimo cha uyoga kwa njia ya kisasa, ufugaji, utengenezaji wa keki, crips za viazi, tomato sause, visheti na vingine vingi

Usikose nafasi hii adimu na ya kihistoria.

Mafunzo haya yatafanyika katika ukumbi wa *wellfare( olofea)* siku ya tarehe 18, 19 na ishirini ya mwezi huu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa

Nenda kajiandishie na ujipatie tiketi ya kuingilia katika ofisi ya mtendaji wa kata ya kitanzini.. Mafunzo haya ni bure kwa wakazi wa iringa, wahi mapema kabla nafasi hazija jaa

Imetolewa na

Mhe. Richard kasesela*
*Mkuu wa Wilaya*
*IRINGA*