Kwa Safari salama usisahau kudownload MakiniApp | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, August 18, 2016

Kwa Safari salama usisahau kudownload MakiniApp

DEREVA MAKINI APP

Inachokifanya App ya DerevaMakini:
- Kukuonesha jina la barabara uliyopo sasa.
- Kukuonesha jina la eneo ulilokuwepo sasa.
- Kukuonesha mwendo anaokwenda nao Derava kipindi hicho.
- Kukuonesha kikomo cha mwendo(Speed Limit) katika barabara uliyokuwepo - hii inatokana na kwamba barabara zina vikomo vya mwendo kasi tofauti tofauti kwa hiyo kila utakapoingia barabara fulani itabadili kutokana na ilivyowekwa na jeshi la usalama barabarani.

ni kwamba Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na kampuni ya Makini Road Safety Foundation imeturahisishia njia nyepesi ya kukabiliana na ajali za barabarani ambapo kwa kutumia application ya MakiniApp ambayo ukiwa nayo katika simu yako inakusaidia kujua mwendokasi wa dereva kwenye gari ulilopanda.

Nakukutanisha msemaji mkuu wa MakiniApp Irene Kidunda…>>> ‘MakiniApp hii ni application ambayo inamuwezesha mtumiaji kufahamu kiwango halisi cha mwendokasi wakati anaoutumia dereva wakati wa safari kupitia simu yake

Ikiwa dereva anatembea kwa mwendokasi usiotakiwa mtumiaji anaweza kuchukua hiyo taarifa na kuituma katika kikosi cha usalama barabarani kupitia hiyohiyo simu yake ili askari wamchukulie hatua dereva huyo‘ –Irene Kidunda

Uzuri wa kuwa na application hii ni kwamba hatakama hutakuwa na mtandao kwa muda huo bado utakuwa na uwezo wa kurekodi mwendokasi wote na kisha ukampatia askari polisi utakayemkuta barabarani na bado ikawa na msaada‘ –Irene Kidunda

Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Mohamed Minga anasemaje kuhusu hatua hii?…>>>’Tumekuwa tukitoa namba ya simu ambayo abiria wataitumia kutoa taarifa za usalama barabarani ambazo ni 0682887722 na ukituma taarifa hizo sisi tunazifanyia kazi

Tunaamini mfumo huu wa MakiniAppy utatusaidia sana kudhibiti mwendokasi na kupunguza ajali za barabarani licha ya mfumo wa tochi tuliozoea kuutumia‘ –Mohamed Mpinga

 Makini Road Safety,Chama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA),Chama Cha Madereva Wafanyakazi Tanzania,Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu na SUMATRA katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza zoezi la Uzinduzi rasmi wa MakiniApp katika kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo.

https://www.facebook.com/peter.george.tz?fref=pb&hc_location=profile_browser

#‎MakiniApp‬

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.pro.makini

Kwa Safari salama usisahau kudownload MakiniApp
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.pro.makini

Kwa maoni, maswali au ushauri, usisite kuwasiliana nasi.

Abiria Ni Haki yako Kufika Salama...!

DAMAS ANTHONY-
Road Safety Ambassador
RSA