MAKALA YA SHULE YA MSINGI PAMBALU | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, September 4, 2016

MAKALA YA SHULE YA MSINGI PAMBALU

Na Damas Anthony
Mnamo mwaka 2005 Damas Anthony nilihitimu Elimu ya shule ya msingi katika shule ya Msingi PAMBALU chini ya uobgozi wa Mwalimu mkuu A.Ishengoma
Historia ya shule hiyo jina la shule hiyo limetokana na mzee mmoja aliyekuwa akiishi katika eneo hilo la shule, alikuwa akifahamika kwa jila hilo la PAMBALU.
Anasema kuwa shule hiyo ilianzishwa rasmi mnamo Novemba 11 mwaka 1971 chini ya mwalimu Mkuu wa kwanza Silivester Likonge.
"Toka kuanzishwa kwa shule hii kume kuwa na walimu wapatao 13 waliongoza shule hiyo mpaka sasa,"anasema mwalimu
ELIMU
Pambalu shule inayoongoza katika kufaulisha Wanafunzi katika Wilaya ya Sengerema.
LICHA ya ubora wao huo, wazazi hufurahi, watoto wao wanapopata mimba kwa lengo la kuwaoza ili wapate fedha MARA nyingi shule zilizoko mijini ndizo zinazofaulisha zaidi wanafunzi kwa ajili ya kuendeleza masomo katika elimu ya sekondari mara baada ya kumaliza elimu ya msingi.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule hiyo, Malale Mathias anaielezea hali hiyo kama alivyozungumza na mwandishi wa makala hii katika shule hiyo.
Anasema kuwa siri kubwa ya shule hiyo kufaulisha sana wanafunzi ni kutokana na walimu wa shule hiyo walivyo kuwa na mikakati ya kukuza elimu katika Wilaya yao na ushirikiano mkubwa baina ya walimu. Anasema kuwa licha ya walimu wa shule hiyo kuwa na ushirikiano na wanafunzi wao pia wanafunzi wenyewe wamekuwa na mwamko wa elimu hiyo hali inayopelekea wanafunzi hao kufanya vizuri katika kila mtihani. Akizungumzia twakwimu ya shule hiyo kwa kipindi cha mwaka wa 1999 hadi 2001 anasema kuwa jumla ya wanafunzi 240 walichaguliwa kuendelea na masoma ya Sekondari.
Shukrani za dhati kwa wanafunzi wenzangu 
DAVID MANOKO
ASANGA MWAMSOJO
COLETHA COSMAS
IRENE WILLIAM
TELEZA MSABILA
THEODORA KISAKA
HARUNA JUMANNE
TECKLA JOSEPH
BAKARI ALLY
SAMASON JOASH
YOHANA 
WINFRIDA MDINA 
ZEPHANIA SELESTINI 
NA WENGINE WENGI 