Watu wazee na wapewe umanaa kama watu wenye ujuzi na ufahamu. Imeandikwa Mithali 20:29 "Fahari ya vijana ni nguvu zao na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi." | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, September 4, 2016

Watu wazee na wapewe umanaa kama watu wenye ujuzi na ufahamu. Imeandikwa Mithali 20:29 "Fahari ya vijana ni nguvu zao na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi."

Wazee waume kwa wake lazima tuwape heshima. imeandikwa, 1Timotheo 5:1 "Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba na vijana kama ndugu." na wanawake wazee kama mama wana wake vijana kama ndungu wa kike katika usafi wote." 

Bw Na Bi Gaudensia Mathayo na Damas Michael Ngoma katika Furaha

Mtunga-zaburi alisali hivi: “Usinitupe wakati wa uzee; wakati tu nguvu zangu zinapungua, usiniache.” (Zaburi 71:9) Mungu ‘hawatupi’ kamwe watumishi wake waaminifu hata wao wenyewe wanapohisi kwamba wamezeeka sana hivi kwamba hawawezi kutimiza lolote.

Ni lazima tuwape watu wazee heshima. Imeandikwa, Mambo ya walawi 19:32 "Mwondokeeni mtu mwenye mvi heshimuni uso wa mtu mzee nawe mche Mungu wako, mimi ndimi Bwana."

Damas mjukuu Dismass pamoja na Babu yao Ngoma Damas Mwigala Michael

Vijana waweza kuelimika katika maisha yao kutokana na maisha ya wazee. Imeandikwa, Zaburi 71:18, "Na hatanikiwa mzee mwenye mvi, Ee Mungu usiniache. hata niwaeleze watu wakizazi hiki nguvu zako na kila atakayekuja uwezo wako."

picha ya pamoja ya Wajukuu wa Ngoma Damas pamoja Na Mtoto wake Deo kushoto mwa picha

Kuna mawaidha kwa watu wazee. Imeandikwa, Tito 2:2-5 "Ya kwamba wazee wawe wenye kiasi, wastahivu, wenye busara wazima katika imani na wenye upendo na katika saburi vivyo hivyo na wazee wa kike wawe na mwenendo wa utakatifu wasiwe wasingiziaji wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi bali wafundishao mema ili wawatie wanawake vijana akili, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao na kuwa wenye kiasi kuwa safi kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema kuwatii waume zao wenyewe ili neno la Mungu lisitukanwa

Bw Na Bi. D.M. NGOMA KATIKA MIAKA HAMSINI NDANI YA NDOA

Yesu mwenyewe aliwajali wazee katika huduma yake. Aliwashutumu vikali viongozi wa kidini ambao waliona ni sawa kuwapuuza wazazi wao wazee kwa sababu ya mapokeo ya kidini. (Mathayo 15:3-9) Yesu pia alimjali mama yake kwa upendo. Alipokuwa akipatwa na maumivu makali kwenye mti wa mateso, alihakikisha kwamba mama yake mzee angetunzwa na mtume wake mpendwa, Yohana.—Yohana 19:26, 27

Kutokana na yale ambayo yamezungumziwa, ni wazi kwamba wote wanaotaka kumheshimu Mungu wanapaswa pia kuwaheshimu wazee. Ndiyo, Muumba anawathamini sana wazee. Tukiwa viumbe waliofanywa kwa mfano wake, acheni sikuzote tuwe na maoni kama yake kuhusu “kichwa chenye mvi.”—Zaburi 71:18.