KUINUKA KWAKO NI KWA AJILI YA MAFANIKIO YA WENYE HAKI | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, January 8, 2017

KUINUKA KWAKO NI KWA AJILI YA MAFANIKIO YA WENYE HAKI

Mwenye haki akifanikiwa atakuwa Daraja la wengi kuvuka kuelekea  Baraka zao Ndio sababu ukisoma Mithali 11:10 anasema  “ Wenye haki wasitawipo mji hufurahi, waovu waangamiapo watu hupiga kelele”  hii ni kelele ni ile ya  furaha, sasa ukisoma mstari wa 11 utakuta anasema  “Mji hutukuzwa kwa mbaraka wa mwenye haki, bali mji hupinduliwa kwa kinywa cha mwovu…” Mith 28:28 anasema “Wasio haki wainukapo, wanadamu hujificha, bali waangamiapo wenye haki huongezeka.”

Anaye inuka kwa mujibu wa mithali 28:28
      a)      Ni anayefanikiwa
      b)      Ni anayetawala
      c)      Ni anaye ziona fulsa na kuzimiliki
Mambo ya kuzingatia
a)      Chanzo cha matatizo mengi yaliyopo katika jamii ni kufanikiwa kwa wasio haki
b)      Wasio haki wanapostawi wenye haki hupotezwa / huangamizwa
c)      Wasio haki wakiangamia wenye haki wanaongezeka / wanachanua
d)     Kama wewe ni mwenye haki lakini hutafuti kuinuka basi unaweza kuishia kuangamizwa
e)      Hii ina maana mwenye haki anatakiwa kuwa na maono ya mafanikio
f)       Mwenye haki anatakiwa kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya mafanikio ya wengi
g)      Mwenye haki anatakiwa kutawala kwa ajili ya furaha ya wengi
h)      Mwenye haki akifanikiwa anakuwa macho ya wengine wengi kuona fulsa
i)        Mwenye haki akifanikiwa atakuwa masikio ya wengine wengi kusikia habari njema
j)       Mwenye haki akifanikiwa atakuwa Daraja la wengi kuvuka kuelekea  Baraka zao
Ndio sababu ukisoma Mithali 11:10 anasema  “ Wenye haki wasitawipo mji hufurahi, waovu waangamiapo watu hupiga kelele”  hii ni kelele ni ile ya  furaha, sasa ukisoma mstari wa 11 utakuta anasema  “Mji hutukuzwa kwa mbaraka wa mwenye haki, bali mji hupinduliwa kwa kinywa cha mwovu…”

hapa tunajifunza mambo yafuatayo
1)      Kusudi la Mungu ni wenye haki wafanikiwe
2)      Wenye haki wastawi na kutawala
3)      Wenye haki waongezeke
4)      Wenye haki waone fursa na kuzimiliki
5)      Wenye haki waendelee mbele
Sasa basi tunaweza kusema mafanikio ya mwenye haki ni kwa ajili ya Mungu mwenyewe,  kwa ajili ya Mji kutukuzwa na kuinuliwa, kwa ajili ya  furaha na uhuru wa watu wengi
Hivyo basi mafanikio kwa mwenye haki sio jambo la hiari ni jambo la lazima maana yamebeba kusudi la Mungu, hatma ya mji, na furaha ya watu wengine. Hivyo basi badilisha mtazamo wako na fikra zako kwa ajili ya mji, Nchi na Mungu wako\
KUMBUKA WEWE NI MAJIBU YA MUNGU KATIKA KIZAZI CHAKO
Image may contain: 1 person
Mwl.Tuntufye A. mwakyembe
tuntufyemwakyembe@yahoo.com
+255 767629562
Arusha. Tanzania