Swali: "Je! Mkristo anastahili kufanya mazoezi? Bibilia inasema nini kuhusu afya?" | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, January 8, 2017

Swali: "Je! Mkristo anastahili kufanya mazoezi? Bibilia inasema nini kuhusu afya?"

Mkristo na Mazoezi

Je! Ni Sahihi kwa Mkristo Kujihusiha na Mazoezi ya Viungo au Kushiriki Michezo? 1Timotheo 4:8"... Kwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote.

Image may contain: 1 person
 
Jibu: Kama vile vitu vingi katika maisha, kuna kule kupita mipaka katika sehemu ya mazoezi. Watu wengine wanaangazia kiroho tu peke, na kuiacha miili yao. Wengine wanaangazia sana umbo na sura ya mwili yao na kupuuza ukuaji wa kiroho na ukomavu. Kati ya hayo yote hakuna lenye linaleta usawa wa Bibilia. Timotheo wa kwanza 4:8 yatujulisha, “Kwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye.” Kumbuka kwamba aya hii haiondoi mokosa aja ya kufanya mazoezi. Bali, yasema kuwa mazoezi ni muimu, lakini yapatiwe kipao mbele kwa njia inayofaa kwa kusema kuwa ucha Mungu ndio wa maana zaidi.
Image may contain: 1 person
Mtume Paulo pia anataja mafunzo ya mazoezi katika kuonyesha ukweli wa kiroho 1 Wakorintho 9:24-27. Anazawazisha maisha ya Kikristo na mbio ambazo twakimbia “kupata tuzo.” Lakini tuzo tulitafutalo ni la taji ya milele ambayo haitaharibika. Katika 2 Timotheo 2:5, Paulo anasema, “Hata mtu akishindana katika machezo hapewi taji, asiposhindana kwa halali.” Paulo anatumia mfano wa mwanambio pia katika 2 Timotheo 4:7: “Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda.” Huku angazo la maandiko haya haliko katika mazoezi ya mwili, hoja kwamba Paulo anatumia misemo ya mbio kutufunza ukweli wa kiroho yaonyesha kwamba Paulo aliyachukulia mazoezi ya mwili na hata mashindano kuwa halisi. Sisi wote ni viumbe wa kimwili na kiroho. Huku sehemu ya kiroho yetu ni kunena kibibilia, ya maana, hatustahili kupuuza sehemu ya mwili na kiroho ya afya yetu.
Kwa uwazi, hakuna kitu cho chote kibaya na Mkristo kufanya mazoezi. Kwa kweli, Bibilia ii wazi kuwa tunastahili kiutunza miili yetu (1 Wakorintho 6:19-20). Kwa wakati huo huo, Bibilia inatuonya kinyume na majivuno (1 Samweli 16:7; Methali 31:30; 1 Petero 3:3-4). Lengo letu katika kufanya mazoezi liziwe kuongeza uzito wa miili yetu ili watu watambue na kututhamani. Bali, lengo la mazoezi liwe kuijenga afya yetu ya mwili ili tuweze kuwa na nguvu ambayo tutaitolea kwa malengo ya kiroho.