NDEGE YATEKETEA KWA MOTO MKOANI MARA IKIWA NA WATALII | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Saturday, January 7, 2017

NDEGE YATEKETEA KWA MOTO MKOANI MARA IKIWA NA WATALII

NDEGE YATEKETEA KWA MOTO.

Serengeti. Ndege iliyokuwa imebeba watalii watano Raia wa Marekani imeanguka na kujeruhi marubani wawili.

Ndege hiyo ilianguka baada ya kupata hitilafu na kisha kuteketea kwa moto wakati inaruka katika uwanja wa Sasakwa wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Ramadhani Ng’hazi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Januari 2 mwaka huu na kusema kuwa ndege hiyo aina ya CESNA F.406 Mali ya Air Excell ilikuwa ikiongozwa rubani Mohammed Selemani akisaidiwa na rubani Fahd Salehe.

Kamanda Ng’hazi amesema ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 12 siku ya tukio  ilikuwa na abiria watano walionusurika, Greg Martin Perelman(60), Susan Perelman(52), Sara Melissa Perelman (23), Danielle Jaffe Perelman(21), Emma Stephanie Perelman(19), ambao ni  familia moja toka nchini Marekani.