Roho Mtakatifu anataka ufahamu na ujue mambo gani, ikiwa anakupa kukujulisha juu ya “ukiwa” kuwepo katika “eneo”.-Mwl Christopher Mwakasege | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

 

Goo

 

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 
About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Monday, January 16, 2017

Roho Mtakatifu anataka ufahamu na ujue mambo gani, ikiwa anakupa kukujulisha juu ya “ukiwa” kuwepo katika “eneo”.-Mwl Christopher Mwakasege


Bwana Yesu Kristo atukuzwe milele!

Leo tujifunze Roho Mtakatifu anataka ufahamu na ujue mambo gani, ikiwa anakupa kukujulisha juu ya “ukiwa” kuwepo katika “eneo”.

Biblia inasema katika Mwanzo 1:2 hivi; “Nayo nchi ilikuwa ukiwa na …. Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji”. Kufuatana na neno “nchi” lilivyotumika hapa lina maana ya “ardhi”. Hii ni kwa kuwa tafsiri nyingi za biblia za kiingereza zimetumia neno “earth”.

Pamoja na kwamba “ardhi” hiyo ilikuwa chini ya maji au ilikuwa imefunikwa na maji, Roho Mtakatifu aliweza kujua hali ya “ukiwa” iliyokuwa kwenye ardhi ya eneo lile.


Na tunaposoma Ezekieli 15:8 tunajua ya kuwa “ukiwa” ni matokeo ya adhabu ya Mungu! Mstari huu umeandikwa hivi: “Nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa, kwa sababu wamekosa, asema Bwana Mungu”.Mstari huu unatupa kujua jambo muhimu ya kwamba – “ukiwa” unaweza ukakaa juu ya “ardhi” au katika “ardhi” ya eneo ….. hata kama eneo hilo la ardhi halina “watu” wakati huo!


Je,hali ya namna hii unapoisikia moyoni mwako UNAPOOMBEA eneo la ardhi unayotaka kununua kwa ajili ya kujenga nyumba au kuitumia kwa kilimo – Roho Mtakatifu anataka kukupa ujumbe gani?


Ikikutokea hali ya namna hiyo – ujue Roho Mtakatifu anataka ufahamu ya kuwa: 

(i) Eneo hilo lipo chini ya adhabu ya Mungu; na 

(ii) kuna “kosa” lililofanywa na mtu au watu waliokaa au waliomiliki eneo hilo kabla yako; na 

(iii) kwamba kosa hilo linatakiwa “lirekebishwe” kwa toba, kabla mtu mwingine hajaruhusiwa kuishi au kufanya kitu kwenye eneo hilo; na 

(iv) kwa sababu wewe ndiye unayetaka kufanya jambo kwenye ardhi hiyo na ufanikiwe – inakubidi uwe mhusika pia wa kufanya toba hiyo! Kumbuka – lengo la toba hiyo ni ili Mungu asamehe na kuondoa adhabu ya “ukiwa” juu ya ardhi hiyo!


Hali ya adhabu ya “ukiwa”, ndiyo mara nyingi (si mara zote – lakini mara nyingi) – imefanya maeneo mengi ya ardhi yawe tupu, na yasiendelezwe – hata kama ni maeneo “mazuri” kwa kuishi, au kwa kulima au kwa kufanyia biashara!


Taarifa hiyo ya Roho Mtakatifu haikuzuii kununua, au kutumia, au kuliendeleza hilo eneo, BALI, Roho Mtakatifu anataka ujue adhabu hiyo ipo kwenye ardhi, na ni vizuri ushughulikie hiyo “adhabu”, ili Mungu aiondoe!


Ndiyo maana ukiliombea hilo eneo – utaona moyoni mwako unasikia kuomba kwa “kuomboleza” (Yeremia 4:25). 

Hali hiyo ya “kuomboleza”, – ni ishara toka kwa Roho Mtakatifu ya kuwa ombea hilo eneo – wala usipuuzie! Na maombi yako yakipata majibu toka kwa Mungu, utasikia moyoni mwako huko “kuomboleza”, kumeisha moyoni mwako na “ukiwa” hutausikia moyoni mwako utakapokuwa unaombea, au umekanyaga eneo hilo la ardhi!


Jambo hili ni muhimu kwa kuwa adhabu ya ukiwa katika ardhi ya eneo – inafanya eneo hilo (i) lisikaliwe na watu (Ezekieli 33:28, Yeremia 51:29); na (ii) lisitembelewe na watu (Zekaria 7:14); na (iii) kitu kitakachofanyika hapo kisizae matunda, au matokeo yaliyokusudiwa.

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

 

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.