TUANZE MWAKA NA BWANA | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, January 6, 2017

TUANZE MWAKA NA BWANA

Yawezekana umetabiriwa sana, kila mwaka unapoanza unatabiriwa mafanikio, unatabiriwa hakuna matatizo kwako n.k. Kitu pekee kitakacho kufanya uwe mwenye furaha na mshindi siku zote ni Tumaini lako kwa Bwana Yesu na kukaa katika kuamini ahadi za Mungu kwako

1 NYAKATI 20:1
"Hata ikawa,mwanzo wa mwaka mpya,wakati watokapo wafalme kwenda vitani,Yoabu akawaongoza mashujaa wa jeshi,akaiteka nyara nchi ya wana wa Amoni, akaja akauhusuru Raba.Lakini Daudi akakaa Yerusalemu.Naye Yoabu akaupiga Raba akauangamiza"

Nasi katika mwaka mpya huu, tutoke kupigana vita vya kiroho na kimwili. Tukawapinge maadui umaskini na ujinga. Pia tuwe watu wa ibada mwaka huu.
TUANZE MWAKA NA BWANA

Sipendi kukutia moyo kwamba 2017 ni mwaka wa majibu kwako, majibu hayatakuja pasipo wewe kuchukua hatua, pasipo wewe kumtafuta Mungu, pasipo wewe kuweka Tumaini lako kwa BWANA YESU sio kwa ndugu au wachungaji wako.

Yawezekana familia nyingi tutasikia ama kuona habari zisizo nzuri mfano:- kuongezeka kwa bei za bidhaa, kukosa kazi, magonjwa, matatizo ya kifamilia, kukosa school fees n.k hakuna wa kubadilisha haya isipokua kuwa jasiri na kukaa katika Tumaini lenye nguvu pasipo kuyumba.

Nabii Yeremia aliijua siri ya Kubarikiwa au kuwa na furaha ni kumwamini Bwana, Mungu Baba, Mwana Roho Mtakatifu anajali kila hitaji ulilonalo, pia anaweza kukupa maisha yaliyo salama mwaka 2017.

Mtu ambaye hamwamini Bwana Yesu, anaweza kuona maisha yamemshinda, hana tumaini, hana pa kukimbilia. Yuko sahihi! Kwa sababu bila Yesu hakuna tumaini “ Kwamba zamani zile mlikua hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israel, wageni wasiokua na maagano ya ahadi ile. Mlikua hamna tumaini, hamna Mungu duniani” Waefeso 2:12

Lakini mwaka huu unapoanza ebu fikiria mambo mangapi umepita, yalikua magumu mno! lakini Mungu kakupitisha, si kwa nguvu zako, mangapi Mungu amekufanikisha? hata hujakumbuka kumshukuru! Sasa anza mwaka 2017 kwa ushindi na ujasiri, anza mwaka na Bwana Yesu, rekebisha mahali ulipoharibu, anza katika Utakatifu ili Mungu aweke Tumaini lenye nguvu ya kukupitisha mwaka 2017 ukiona mafanikio na ahadi za Mungu alizokuahidi zikitimia kwako.

Ikiwa wewe ungependa kuanza mwaka mpya na Bwana Yesu au ikiwa ungependa kumpokea awe Bwana na Mwokozi wako omba maombi haya!

Baba ni katika Jina la Yesu, siwezi kategemea maisha yangu kwa nguvu zangu mwenyewe, nahitaji msaada wako na uwepo wako katika maisha yangu. Nisamehe maovu yangu yote, napenda kuanza maisha mapya na wewe. Naamini ulikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu, nakukaribisha Bwana Yesu uwe Bwana na Mwokozi wa Maisha yangu. Amen

“Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake, na tumaini lake ni kwa BWANA Mungu wake” (Zaburi 146:5).