TAG Kuanzisha chuo cha Muziki | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Sunday, August 25, 2013

TAG Kuanzisha chuo cha Muziki

Kanisa la TAG Kuanzisha chuo cha Muziki nchini 

Na Apostle Darmacy

Dr Barnabas Mtokambali
Kanisa la Tanzania Asemblies of GOD(TAG) liko mbioni kuanzisha chuo cha Muziki katika mpango wake wa kuimarisha huduma za Kanisa, hususani katika kusifu na kuabudu.Katika salamu alizotoa katika ibada maalumu iliyofanyika siku za hivi karibuni katika Kanisa la TAG Ubungo jijini Dar es salaam,Askofu mkuu wa TAG Tanzania Dr Barnabas Mtokambali alisema “muziki tulionao makanisani kwetu ni wa kubabia babia,hauko kwenye viwango vya kimataifa, ni muhimu kuwa na muziki wenye radha za Noteni katika kutumia ala za muziki na kuimba”.

Aliongeza kuwa  “kabla ya kuanzisha chuo hicho tutapeleka watu ili wapate utaalamu wa kutosha ili waje kufundisha watu wengine watakaokuwa wakifundisha muziki makanisani”  Dr  Mtokambali alisema kuwa kwa sasa anamkakati wa kujenga chuo  kingine cha Biblia jijini Mwanza baada ya kupatikana ekari zipatazo Tano na hivyo kutoa nafasi ya chuo cha sasa kuwa chuo cha Muziki jambo litakalochukua Miaka  mitano hadi kumi.

Katika kufafanua hilo Dr Mtokambali alisema kutokana na mchakato huo itawalazimu waalimu wa Muziki makanisani kusoma Muziki kwa kina kabla ya kufikia hatua ya kufundisha ili hatimaye waweze kufikia hatua ya ngazi ya cheti,Stashahada na Shahada.Chuo hicho pia kitatumika kuwandaa waalimu wa watoto ili kuwa na huduma hiyo kila kanisa kikamilifu.