Tamasha | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, August 15, 2013

Tamasha

TAMASHA LILILOLENGA KUWASAIDIA YATIMA NA WAJANE KUFANYIKA UBUNGO PLAZA TARHE 01.09.2013

Na Apostle Darmacy 

Kama wewe una wazazi wako wasio na wazazi na wanatamani kuona upendo wa wazazi wao. Kama wewe una mume wako wasio na waume na wanatamani kuwa na waume zao. Watamani kufarijiwa watu wa aina hii. Neema Gaspa ameliona hilo ndio maana akaanda tamasha hili ambalo litajikita kuwasaidia yatima na wajane. Chanzo cha fedha kinatoka kwao. Kiingilio chako na mchango wako katika uzinduzi huu ndio utakaosaidia ndugu zetu wanateseka.
 Sisi sote ni ndugu tunapaswa kusaidia hasa wakati wa shida. Watu wengi tiunapenda sana kujenga urafiki wakati wa raha na kikifika kipindi cha majonzi tunakimbiana. Haipendezi machoni pa Mungu na machoni mwako. Wewe unaweza kuwa mfano mkubwa sana katika kusaidia jamii inayoteseka. Kuna njia nyingi za kuwasaidia hawa yatima na wajane.
Unafika wakati unawaza na pengine kumkufuru Mungu kwa shida unayopata wakati bado hujaanza kujitegenea, kwani huna wazazi wa kukusaidia. Ndugu zako na marafiki zako wamekukimbia na wengine wanathubutu hata kukucheka jinsi unavyodharirika na shida.
 Ndugu yangu na rafiki yangu waweza kufuta machozi ya hawa ndugu zetu kwa kuwasaidia kimawazo, kifedha ili nao waweze kusahau shida zao wanazokumbana nazo. Ndugu zetu hawatamani kulia lakini inabidi iwe hivyo kutokana na shida wanazopata. Wengine walikuwa wakitegemea wazazi wao kwa kila jambo lakini leo hii wametoweka wamebaki kuteseka na kuwa chokolaa.
TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAMU YA SHUJAA LILILOLENGA KUWASAIDIA YATIMA NA WAJANE
TUWASAIDIE
BLESS U