Siri ya mafanikio St Francis | Apostle Darmacy Blog MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 | Apostle Darmacy Blog

APOSTLE DAMAS

Breaking News

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Thursday, February 23, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 24,2017 

Goo

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

About Muses Radio Player...
Version 2.1 (html5)

NURU MINISTRY

PURE MISSION

PURE MISSION
MAPINDUZI YA FIKRA

Apostle Damasy

Apostle Damasy

Emare Arts Collection - E.A.C

Emare Arts Collection - E.A.C
Sw: Karibuni kwa ununuzi wa picha za kitamaduni ili kukuza Sanaa ya nyumbani, kupitia 0625 927 752 au 0758 576 065, Bei ni nzuri, Asanteni! ******* Eng: Welcome for purchasing different Africultural Arts, as to boost the market of African cultural products via the numbers 0652 927 752 or 0758 576 065. The prices are affordable, Thank you!

ABC Studio Mwanza

ABC Studio Mwanza
Photograph,Video shooting & all Printing works +255756143999, +255658720091, We are located at New Post Office Pamba Road & Nyerere Road, Mza Tz www.facebook.com/abcmwanza,www.youtube.com/abcstudiomwanza
apostledarmasy. Powered by Blogger.
-->

Tangaza nasi

Breaking News
Loading...

Soma App

Soma App
DOWNLOAD Somaapp NOW!

Gospel Awards

Gospel Awards
GOSPO AWARDS ni tuzo maalum zilizoanzishwa na kampuni ya Gospo Media kwa waimbaji, wanamuziki, na wataarishaji wa muziki wa Injili walioweza kufanya vizuri kupitia tovuti ya gospomedia.com, mitandao ya kijamii, radio na tv kwa mwaka 2016 kutoka Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.

RSA TANZANIA

RSA TANZANIA
RSA ni kifupi cha maneno ROAD SAFETY AMBASSADORS ikiwa na maana Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Radio Sayuni

ASAS Dairies LTD

Soma BIBILIA

Soma BIBILIA

Friday, February 21, 2014

Siri ya mafanikio St Francis

NDIO SHULE ILIYO ONGOZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

. Mkuu wa Shule ya Sekondari St Francis ya mkaoni Mbeya iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika Matokeo ya Kidato cha Nne yaliyotangazwa jana, Sista Flossy Sequira amesema kuwa alikuwa na uhakika kwamba shule yake ingefanya vizuri kwenye mtihani huo, huku akitaja siri ya mafanikio.

“Tumefurahishwa na matokeo licha ya kuwa tulikuwa tunafahamu fika kuwa tutafanya vizuri kwa kuwa huo ndiyo utamaduni wetu, tutahakikisha tunaendelea kushika nafasi hiyo kila mwaka,” alisema Sista Sequira.

Alipotakiwa kueleza siri ya matokeo hayo kwa shule yake kila mwaka, mkuu huyo wa shule alisema: “Siri kubwa ya mafanikio hayo ni kumtanguliza Mungu kila siku na ushirikiano wa hali ya juu uliopo kati ya walimu, wanafunzi na uongozi wa shule.”

Aliongeza kuwa umakini walionao wanafunzi wa shule hiyo ni sababu nyingine ambayo huwarahisishia walimu wakati wa kufundisha, hata wanapowatolea majaribio ya mara kwa mara.

Naye Mkuu wa Shule ya Wasichana ya Canossa ya Dar es Salaam, iliyoshika nafasi ya tano Yvonne D’souza, alisema amefurahi kuwa mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu katika kumi bora ametoka shuleni hapo, lakini alitarajia wangefaulu wanafunzi zaidi ya watatu katika kundi hilo.

“Kufaulu ni kawaida yetu, sisi tunafuata viwango vya elimu vinavyotakiwa. Mwaka huu nimefurahi kwa sababu wasichana ndiyo waliofaulu zaidi, ninataka wapande, wawe juu, huu ni wakati wao,” alisema D’souza.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Wasichana ya Marian, Flora Mapunda, ambaye shule yake imetoa wanafunzi wanne bora ikishika nafasi ya sita, alisema matokeo hayo hayakumridhisha sana kwani alitegemea wanafunzi wengi wangefaulu zaidi.

Katika matokeo hayo yaliyotolewa na Baraza la Mtihani la Tanzania na kutangazwa na Kaimu Katibu Mtendaji wa baraza hilo Dk Charles Msonde, Sekondari ya St Francis imekuwa ya kwanza, ikifuatiwa na Marian Boys ya mkoani Pwani, huku Feza Girls ya jijini Dar es Salaam ikiwa nafasi ya tatu.

Katika shule hizo kumi bora, Sekondari ya Precious Blood ya Arusha imekuwa ya nne, Cannosa ya Dar es Salaam imekuwa ya tano, Marian Girls ya Pwani nafasi ya sita, Anwarite Girls ya Kilimanjaro ipo nafasi ya saba

source

Blogger http://apostledarmacy.blogspot.com

Anthony DarmasyAnthony DarmasyAnthony Darmasy